Mwinjilisti MWAKITABU akihubiri katika viwanja vya uyole siku ya leo wengi wame funguliwa na kuheshimishwa na Mungu wao hakika, nisiku ya pekee kwa watu wa uyole/
mpiga drum wa parapanda kwaya akiwajibika
Maombezi siku ya leo watu wamefunguliwa kwa jina la YESU
Wengi walikuwapo kwani bwana hakika aliwagusa
Walio okoka walikuwa ni wengi sana hakika huduma hii,ya THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY imefanya kazi ya MUNGU.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni