Mimi ni mtoto wa tatu wafamilia ya mchungaji na askofu na mama askofu A; Mwaisabila wa kanisa la EAG TANZANIA.
Baada ya kujishughulisha na mambo ya elimu yangu nilianza kazi ya ualimu wa shule katika kituo cha victory training centre kama mkufunzi wa kiingereza na computer. kipindi hicho chote nilikuwa nikitumika kihuduma kama mwana muziki wa kanisa la EAGT GILGAL MWANJELWA na pia nilikuwa mwalimu msaidizi wa kwaya ya Parapanda. Kiufupi maisha yangu kihuduma yameanzia miaka ya 1993
Mama yangu Esther Mwaisabila |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni