KUHUSU FAMILIA YANGU


Ninamshukuru mungu mwaka 2001 nifanikiwa kuoana na mke wa mpenzi aitwaye Rebeka Benjamini  K
ayayoo
Baada ya hapo mwaka 2002 Mungu alitujaalia kupata mtoto wetu wa kwanza wa kikeaitwaye Zella Kayayoo
Mwaka 2004 tulifanikiwa kupata mtoto wetu wa pili wa kiume aitwaye Zion Kayayoo
Kwa sasa watoto wetu hawa wote wako shule za msingi

mke wangu mpenzi Rebeka B Kayayoo


Mwanangu wa kwanza Zella Kayayoo
Mwanangu wa pili Zion I Kayayoo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni