- Kuipeleka injili sehemu nasmbalimbali mjini na vijijini hasa kwa wale ambao hawajafikiwa na injili
- Kuisadia jamii ya watu waishio kataka mazingira hatarishi mfano yatima wajane na watoto wa mitaani mahitaji yao ya kila siku kama vile elimu ,chakula na malazi.
- Kuwasaidia waimbaji wa nyimbo za injili hasa wachaga ili kufikia ndoto zao kihuduma.
- Kuwa mmoja wa watumishi wa Mungu wanaohubiri injili ya kweli bila kuchanganya injili na mapokeo
- Kuwafikia vijana hasa walio katika elimu ya juu na kuwashauri ili watimize ndoto zao pasi na kukatishwa na ukimwi.
MAONO YANGU (MY VISION)
Nikiiwa mtumishi wa Mungu, namwomba Bwana siku zote anijalie
kumtumika yeye katika nyanja zote lakini zaidi ya hayo, Mungu ameweka
ndani yangu maono makubwa ambayo hasa dira yangu katika huma yangu ya
kiroho na maono hayo ni kama ifuatavyo,
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni