Mzee akikabidhiwa zawdi na mkurugenzi wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY ,katika viwanja vya mkutako uyole juu, mzee huyo amesema hana neno lakusema baada ya kumuuliza anazungumziaje hi hali ya leo, kaishia kusema Asante YESU.
Hapa akina mama wakichagua viatu vyakuwatosha wakisaidiwa na viongozi wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY hakika walibarikiwa sana ,
Sehemu ya umati wawatu umekusanyika wakitazama kazi inayo fanyika,katika viwanja, wengi hawakuamini ila baada ya tukio wali amini na ku pigwa na butwaa ila kazi ndio iliyo ajuwalisha kuwa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY wame tumea na MUNGU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni