Jumatatu, 22 Julai 2013

MDA WACHAKULA WANA PARAPANDA OUTREACH MINISTRY HAWAKUWA NYUMA WALIUTUMIA VIZURI MUDA HUO..

Mh,,,kwakweli hii ilikuwa tofauti mana ulipofika wakati huuuu wengi walionekana wana furaha sana kwani watu walikula na kunywa,,hakika huduma hii niyapekee sanaa

       ,,,,,,,,,,,,,,,, hapa wana kwaya wa parapanda wakila chakula,,,,,,,,,,,

mlo wakiroho tayali sasa mlo wa kimwiliiii wana parapanda,,,,,,,,,,,,,,
Mkurugenzi wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY mwenye suti nyeusi akiwa na wana huduma wengine wakipata chakulaaaaaaa.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
,,,,,,,,,Haa wakina dada nao hawa kuwa nyuma wakati wa mloo ,,,,,,,,,,,,,wana parapanda
huyu ni mpiga dramu wa kwaya parapanda naye hakuwa nyuma mda ulipo fika wakula,,,,,,,,
chakula kilikuwa kingi mno ila huyu kijana hakuwepo ,,,,,,,,,,,,,,,

Jumapili, 21 Julai 2013

YALIYO TUKIA KATIKA VIWANJA VYA UYOLE SIKU YA LEO NA HUDUMA YA THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY

Mwinjilisti MWAKITABU akihubiri katika viwanja vya uyole  siku ya leo wengi wame funguliwa na kuheshimishwa na Mungu wao hakika, nisiku ya pekee kwa watu wa   uyole/
mpiga drum wa parapanda kwaya akiwajibika
Maombezi siku ya leo watu wamefunguliwa kwa jina la YESU
Wengi walikuwapo kwani bwana hakika aliwagusa
Walio okoka walikuwa ni wengi sana hakika huduma hii,ya THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY imefanya kazi ya MUNGU.


THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY WAMETIKISA MBEYA VIJIJINI SIKU YA LEO WENGI WAME FUNGULIWA

Waimbaji wa nyimbo za injiri wamekuwa baraka sana kwa wakazi wa uyole ya kati,
TUMAIN MBEMBELA akiwa jukwaani akimsifu JEHOVA

THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY JINSI MUNGU ALIVYOWATUMIA WATU WENGI WAME OKOKA KATIKA HUDUMA HII WIKI HII NI FURAHA KUBWA SANA.

Walookoka katika mkutano wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY niwengi mno na nisiku nne tubado ya leo jioni hakika kazi ambayo MUNGU amewapa hawa ni njema.


PARAPANDA KWAYA WAKIIMBA WAKATI WA IBADA YA LEO ASUBUHI

Kwaya ya parapanda jijini Mbeya wakiimba wimbo JINA LA YESU leo asubuhi katika ibada

THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY LEO KATIKA IBADA YA ASUBUHI

Sehemu ya ibada siku ya leo muda huu katika kanisa la EAGT BETHELI uyole ya kati
Ibada inaongozwa na huduma ya THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY

Ijumaa, 19 Julai 2013

THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY WAWASHANGAZA WAKAZI WA UYOLE MAANA HAWAKUAMINI,LAKINI NDO IME KUA HIVYO BARAKA ZIME MWAGIKASANA SIKU YA LEO UYOLE YA KATI.

Mzee akikabidhiwa zawdi na mkurugenzi wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY ,katika viwanja vya mkutako uyole juu, mzee huyo amesema hana neno lakusema baada ya kumuuliza anazungumziaje hi hali ya leo, kaishia kusema Asante YESU.
Hapa akina mama wakichagua viatu vyakuwatosha wakisaidiwa na viongozi wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY  hakika walibarikiwa sana ,
Sehemu ya umati wawatu umekusanyika wakitazama kazi inayo fanyika,katika viwanja, wengi hawakuamini ila baada ya tukio wali amini na ku pigwa na butwaa ila kazi ndio iliyo ajuwalisha kuwa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY wame tumea na MUNGU


THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY WAKIWA KATIKA HUDUMA LEO UYOLE

hiiiii ni huduma ya watu wa mungu kwa jamii, sio mahubiri tu hapa nikazi nyingi kama jinsi Yesu alivyo agiza kuwajri yatima na wajane kwa kweli yesu ni mkuu sana katika huduma hii, hapa misaada ikitolewa na THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY.

MAMA MJANE AKIKABIDHIWA KITENGE KUTOKA KWA UONGOZI WA KWAYA YA PARAPANDA SIKU YA LEO HUYU MAMA NI MJANE ANAYE ISHI IDUDA

Hapa anakabidhiwa kietnge kuyoka kwa wana parapanda mungu mwema sana sku ya leo na sikuttegemea kupata msaada huu, ni maneno aliyo sema huyu mama si

Akizungumzia juu ya baraka hizi ansema ,yote na mwachia Mungu kwani amenipaneema ya bure ,pia mama huyu alii ishia kuwabariki wana parapanda.

MUNGU NI MKUU SANA PARAPANDA WAWA VISHA WA JANE NA YATIMA WA UYOLE SIKU YA LEO

Hawa ni akina mama ambao wame pewa msaada wa suti,vitenge na nusu dazani ya sabuni.ni kazi inayo fanywa na kwaya ya parapanda uyole ya kati hivi sasa,

Jumatano, 17 Julai 2013

JINSI KWAYA YA PARAPANDA INAVYO ENEZA INJILI, VIJIJINI MKOA MBEYA,

Waimbaji wakiwjibika katika mkustano  waleo uyole ya kati.
sehemu ya umati wakiwa na furaha siku ya leo mkutanoni uyole ya kati

Jumapili, 14 Julai 2013

Jumamosi, 13 Julai 2013

USHINDI KWA ADUI ZAKO

Mtumishi wa mungu Aizack Kayayoo, aki hubiri ibada ya asubuhi english servce
 waumini wakiwa ibadani wakati mtu wa mumngu kayayoo akihubiri
Mwalimu Kayayo akizungumzia juu ya kumshinda adui na nguvu ya bwana ilivo na uwezo

Jumapili, 7 Julai 2013

JINSI MUNGU ALIVYO WATEMBELEA WATU SIKU YA LEO GILIGALI MWANJELWA

 hapa wakiwa wana cheza mbele za bwana parapanda.
 watu wakifuatilia uimbaji siku ya leo.
 parapanda kwaya wakiimba ndani ya ibada.
 mwimbaji Aman Sibhale akiimba kwa furaha sana na kwaya ya parapanda
 parapanda kwaya wakicheza na kuimba siku ya leo.

 vijana wa giligali wakicheza ibadani.
 mwalimu wa parapanda Izack kayayo wakwanza akiwajibika jukwaani.
 sehemu ya waumini wa giligali wakiwa makini ibadani siku ya leo.
 umati wawatu ukifuailia uimbaji wakati parapanda walipokuwa wakiimba.


Kwaya parapanda wakiwajibika ibadani.