Katikati ya ibada watu wakimsifu mungu kwa mioyo yao na miili yao hakika kuna mkono wa Bwana Yesu mahali hapa.
/
Jumapili, 9 Februari 2014
Jumatatu, 22 Julai 2013
MDA WACHAKULA WANA PARAPANDA OUTREACH MINISTRY HAWAKUWA NYUMA WALIUTUMIA VIZURI MUDA HUO..
Mh,,,kwakweli hii ilikuwa tofauti mana ulipofika wakati huuuu wengi walionekana wana furaha sana kwani watu walikula na kunywa,,hakika huduma hii niyapekee sanaa
,,,,,,,,,,,,,,,, hapa wana kwaya wa parapanda wakila chakula,,,,,,,,,,,
,,,,,,,,,Haa wakina dada nao hawa kuwa nyuma wakati wa mloo ,,,,,,,,,,,,,wana parapanda
huyu ni mpiga dramu wa kwaya parapanda naye hakuwa nyuma mda ulipo fika wakula,,,,,,,,
chakula kilikuwa kingi mno ila huyu kijana hakuwepo ,,,,,,,,,,,,,,,
,,,,,,,,,,,,,,,, hapa wana kwaya wa parapanda wakila chakula,,,,,,,,,,,
mlo wakiroho tayali sasa mlo wa kimwiliiii wana parapanda,,,,,,,,,,,,,, |
Mkurugenzi wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY mwenye suti nyeusi akiwa na wana huduma wengine wakipata chakulaaaaaaa.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, |
huyu ni mpiga dramu wa kwaya parapanda naye hakuwa nyuma mda ulipo fika wakula,,,,,,,,
chakula kilikuwa kingi mno ila huyu kijana hakuwepo ,,,,,,,,,,,,,,,
Jumapili, 21 Julai 2013
YALIYO TUKIA KATIKA VIWANJA VYA UYOLE SIKU YA LEO NA HUDUMA YA THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY
Mwinjilisti MWAKITABU akihubiri katika viwanja vya uyole siku ya leo wengi wame funguliwa na kuheshimishwa na Mungu wao hakika, nisiku ya pekee kwa watu wa uyole/
mpiga drum wa parapanda kwaya akiwajibika
Maombezi siku ya leo watu wamefunguliwa kwa jina la YESU
Wengi walikuwapo kwani bwana hakika aliwagusa
Walio okoka walikuwa ni wengi sana hakika huduma hii,ya THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY imefanya kazi ya MUNGU.

THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY WAMETIKISA MBEYA VIJIJINI SIKU YA LEO WENGI WAME FUNGULIWA
Waimbaji wa nyimbo za injiri wamekuwa baraka sana kwa wakazi wa uyole ya kati,
TUMAIN MBEMBELA akiwa jukwaani akimsifu JEHOVA
TUMAIN MBEMBELA akiwa jukwaani akimsifu JEHOVA
THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY JINSI MUNGU ALIVYOWATUMIA WATU WENGI WAME OKOKA KATIKA HUDUMA HII WIKI HII NI FURAHA KUBWA SANA.
Walookoka katika mkutano wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY niwengi mno na nisiku nne tubado ya leo jioni hakika kazi ambayo MUNGU amewapa hawa ni njema.
THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY LEO KATIKA IBADA YA ASUBUHI
Sehemu ya ibada siku ya leo muda huu katika kanisa la EAGT BETHELI uyole ya kati
Ibada inaongozwa na huduma ya THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY
Ibada inaongozwa na huduma ya THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)